Ukiona mti umekauka ghafla, usikimbilie kukata chunguza mizizi yake. Ndivyo ilivyo kwa wanawake wengi wanapoingia kwenye kipindi cha ukomo wa hedhi. Kwa mujibu wa Shirika la Afya duniani (WHO), mwaka ...