Mkurugenzi wa idara za Afrika na Mashariki ya Kati, aliyeuanzisha mradi wa Noa Bongo, Bi Ute Schaeffer, asema anajivunia mradi huo kushinda tuzo ya uvumbuzi wa mawazo mapya Mradi wa Learning by Ear - ...
Ushirikiano wa Learning by Ear’ Noa Bongo Jenga Maisha yako na vituo vya redio shirika 254 kote barani Afrika umeleta muamko mpya na kuwezesha kuwafikia wasikilizaji wengi zaidi katika kanda hii. Kama ...