Wanawake hawawezi kuwa viongozi wa Kanisa Katoliki. Ukristo wa Kikatoliki haukubali wanawake kuwa makasisi. Nini msingi wa jambo hili? Kufuatia kifo cha Papa Francis, kiongozi wa Wakristo wa Kanisa ...
Jessica Hayes alijinunulia mwenyewe shela, ushungi na pete ya ndoa. Lakini aliposimama altareni kufungishwa ndoa na Askofu, hakuwepo bwana harusi pembeni yake. Alikuwa akifunga ndoa na Yesu Kristo. Bi ...
Ulimwenguni kote, kutakuwa na ibada katika makanisa ya kukumbuka Yesu kufufuka kutoka kwa wafu Jumapili ya Pasaka. Lakini kipengele kinachojulikana zaidi cha Pasaka ni yai la Pasaka. Kanisa ...
Papa Francis Ijumaa(29.03.2013) anaongoza ibada yake ya kwanza ya Ujumaa Kuu ya Pasaka baada ya kuosha miguu ya wafungwa 12 vijana akifuata taratibu za kale katka juhudi za kulisogeza Kanisa Katoliki ...