Barua iliyoandikwa kwa hati ya mkono na Albert Einstein, ambapo anajadili suala la dini na imani, imeuzwa kwenye mnada kwa bei ya karibu $2.9m (£2.3m). Bei hiyo imepita makadirio. Barua hiyo ambayo ...
Kundi moja la watu wasioamini kwamba Mungu yupo linasema kuwa limebaguliwa baada ya serikali kukataa kulisajili. Liliambiwa kwamba ombi lao lilitupiliwa mbali kutokana na wasiwasi kwamba hatua hiyo ...