Twaha Khassimu almaarufu "Twaha kiduku" ameibuka kidedea kwenye pambano la masumbwi la usiku wa deni lilifanyika jijini Dar es salaam. Pambano hilo la raundi kumi lilimkutanisha na rafiki yake Abdalah ...
Licha ya kutawala kwa muziki na midundo ya kisasa ambayo inawapagawisha watu wengi, lakini bado ladha ya ngoma za asili zimebaki kuwa pendwa miongoni mwa wengi. Wasichana wa kundi la Shine wanajifua ...
Hatua hiyo inakuja ukiwa ni mpango wa kudhibiti vikundi vya kutumbuiza kwa kutumia ngoma za asili pamoja na kupiga marufuku watoto wa kike kushiriki katika ngoma hizo. Hatua hii imekosolewa na baadhi ...
Karibu katika tamasha la Simiyu linalofanyika kwa mara ya pili nchini Tanzania. Jamii mbili zenye upinzani wa jadi za Wagika na Wagalo kutoka kabila la Wasukuma hushindana kutafuta mshindi katika ...