Katika makala hii mwandishi wetu wa Daresalaam nchini Tanzania Steven Mumbi amejaribu kumdodosa mwanamuziki wa nyimbo za Injili maarufu sana nchini Tanzania Goodluck Gozbert kujieleza kuhusu juhudi za ...
Mbwene Mwasongwe ni miongoni mwa waimbaji wa nyimbo za injili waliofanikiwa kuivusha Sanaa hiyo kutoka kuwa na wapenzi wa aina moja na kuwa wa aina mbalimbali, sasa Sanaa hiyo imefanikiwa kuwatia moyo ...
Jina la Stella Joel mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Tanzania , limepata umaarufu mkubwa nchini humo mapema mwaka huu mara tu baada ya mwanamuziki huyo kufunga ndoa na mume wake Dr. Frank Richard.