Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amefikisha siku 100 tangu aliporejea madarakani Novemba 5, 2025, ...
Ukandamizaji ulishamiri chini ya uongozi wa Rais alietangulia, John Magufuli, kama anavyoelewa vema Tito Magoti, mwanasheria na mwanaharakati ambaye alikamatwa mwaka 2019 na kuwekwa kizuizini bila ya ...
Alhamisi ya wiki hii, Rais Samia aliwaomba msamaha wanadiplomasia na raia wote wa kigeni wanaoishi nchini Tanzania kutokana na kilichotekea wakati huo, akiahidi kuwa serikali yake itachukua hatua ...
Mwaka 2025 ulikuwa mwaka wenye matukio makubwa na ya kihistoria yaliyoacha alama katika jamii, taifa na dunia kwa ujumla. Kuanzia siasa, uchumi, usalama, michezo hadi masuala ya kijamii na teknolojia, ...
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Moses Kusiluka, nafasi ya Simbachawene sasa imechukuliwa na Patrobas Katambi, aliyekuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara. Hakuna ...
Mahakama Kuu ya Tanzania, imeyakubali maombi yaliyoletwa na walalamikaji kupinga uhalali wa Tume iliyoundwa na Rais wa Tanzania, kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani wakati wa Uchaguzi Mkuu wa ...
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results