Serikali ya Tanzania imeijibu jamii ya kimataifa kufuatia tamko lao kuhusu matukio ya uchaguzi wa Okober 29 nchini humo yaliosababisha maafa ya raia. Hatua hiyo inajiri baada ya balozi 16 za nchi za ...
DAR ES SALAAM: MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amekiri kupokea taarifa za kukamatwa kwa meli ya FMS Eagles yenye bendera ya Tanzania, inayodaiwa kukutwa na tani 6.6 za dawa za kulevya nchini ...
Katika hali inayoendelea kuzua mijadala mikubwa nchini na kimataifa, Jeshi la Polisi Tanzania limesisitiza kutohusika kwake na matukio ya utekaji na mauaji yanayoripotiwa mara kwa mara kutoka nchini ...
Miongoni mwa yaliyomo kwenye Taarifa ya habari ya asubuhi ya leo ni: Canada yajipanga kuitambua Palestina kama Taifa Huru ifikapo mwezi Septemba kwenye Hadhara Kuu ya Umoja wa Mataifa | Mamilioni ya ...
Miongoni mwa mengi asubuhi hii ni pamoja na: India na Umoja wa Ulaya hivi leo zitatia saini mkataba mkubwa wa biashara huria +++ Umoja wa Mataifa umesema msaada wa kiutu umeanza kusambazwa kwenye mji ...
Mataifa ya Uingereza, Canada, Norway, Uswizi, Ubelgiji, Denmark, Finland, Ufaransa, Ujerumani, Ireland, Italia, Uholanzi, Poland, Slovakia, Uhispania na Sweden ...