Rais wa mpito wa Syria Ahmad al Sharaa amefanya ziara ya pili ndani ya kipindi cha miezi minne nchini Urusi ambako jana alifanya mazungumzo na rais Vladmir Putin mjini Moscow, yaliyolenga kwa sehemu, ...
Ziara ya waziri mkuu Keir Starmer Beijing inafungua ukurasa mpya wa mahusiano ya kibiashara kati ya China na Uingereza baada ya miaka kadhaa ya mivutano Viongozi wa Uingereza na China wametowa wito wa ...
Wakiwa wamebeba chupa za maji na wamevaa fulana za njano, mateka 89 waliobaki walipanda basi, wakisindikizwa na vikosi vya usalama, kuelekea Kaduna kaskazini mwa Nigeria. Miongoni mwao ni watoto ambao ...
Mazungumzo haya yasiyo ya moja kwa moja yamefanyika wakati kikosi kikubwa cha majini cha Marekani kilipopelekwa katika Ghuba, huku Donald Trump akizidisha vitisho vyake vya kuingilia kijeshi nchini ...
Mauaji ya wanando wa imani tofauti ya dini kumeshtua kijiji kidogo katika jimbo la Uttar Pradesh kaskazini mwa India ambapo wakazi wameishi kwa amani kwa miaka mingi. Miili ya Kajal mwenye umri wa ...
"Sijihisi salama tena," anasema Laith Abu Saleh. Mbele yake, mezani sebuleni mwake, kuna mpira wa miguu ulioandikwa majina na picha za watoto 12. Wote waliuawa katika shambulio la anga mnamo Julai ...
World Interfaith Harmony Week is an annual event observed during the first week of February, since the General Assembly designation in 2010. The General Assembly pointed out that mutual understanding ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results