News

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC) kupitia Mkoa wa Mbeya, Ndele Mwaselela, amekanusha uvumi uliokuwa ukisambaa mitaani kwamba ni miongoni mwa viongozi waliochukua fomu ...
Wakati watia nia kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkoa wa Geita wakijitokeza kwa wingi kuchukua na kurejesha fomu za kuomba ridhaa ya kugombea ubunge, Jimbo la Bukombe limebaki na jina moja pe ...
Nahodha msaidizi wa Yanga, Dickson Job, amesema licha ya kutetea ubingwa wao wa Ligi Kuu na Kombe la FA, msimu huu ulikuwa mgumu zaidi kwao. Akizungumza na Nipashe jana, Job, alisema msimu huu ulikuwa ...
Siku chache baada ya kuthibitika kiungo Fabrice Ngoma anaondoka, Uongozi wa klabu ya Simba tayari umeanza mchakato wa kumpata ...
Mafanikio ya Kocha wa Yanga, Miloud Hamdi, inaelezwa yamewagawa viongozi wa klabu hiyo ambapo awali walitaka kuachana naye na ...
Mjumbe wa Serikali ya Kijiji cha Inyala katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya, Neema Nsimama ameuawa kwa kukatwa na shoka kichwani na mumewe aitwaye Julius Paulo kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kutokana ...
HADI sasa katika maeneo mengi nchini yanayopakana na mbuga za wanyama na mapori ya akiba, kama vile Hifadhi ya Taifa za ...
NI zaidi ya upendo usiokadirika, mzazi kuhimili kumkumbatia mtoto mchanga saa nane hadi 24 mfululizo. Kibinadamu, siyo jambo rahisi kutimiza wajibu huo! Katika Kanda ya Ziwa, hasa mkoani Mwanza, linat ...
ALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye, amekabidhi rasmi madaraka kwa mkuu mpya wa mkoa huo, Simon Sirro, ...
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatekeleza mpango wa kuwezesha ujenzi na uendeshaji wa vituo vipya vidogo ...
Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan, amevielekeza vikao vya uchujaji wa majina watakaopeperusha bendera nafasi ya ubunge, uwak ...